
Kipya kwenye headlines ni kuhusu Kajala kutakiwa kuzirudisha zile milioni 13 na hii ni baada ya kuonekana kwenye White Party ya Diamond na Zari.
Ili kupata ukweli Millard Ayo ameongea na Kajala anaenza kwa kusema >>>> ‘Sio kudaiwa kabisa sababu nilivyokwenda tu kwenye White Party ndio watu wakaanza kuandika kwenye comments kwamba walinilipia milioni 13 alafu nimeenda White Party, alienilipia hizi milioni 13 hajawahi kunidai’
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )