
Diamond
Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani
City usiku huu.

Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City.

Zari na
Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu.

Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo ya usiku wa leo.

Mpiga
Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na
watangazaji Sauda Mwilima wa Star TV(kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa
Times FM.


Wanausalama
wakiwaondoa baadhi ya watu waliokosa tiketi.


Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo
mashabiki wa Diamond.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )