Katika
barua ambayo inaonekana kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CUF
aliyetajwa kwa jina la Ahmed Nassor Mazrui na kusambazwa kwa wanahabari
leo Machi 18,2016, imeeleza kuwa wabunge wote wa Chama cha Wananchi
(CUF) wamejiondoa katika Bunge la Tanzania katika kipindi cha 2015-2020
kwa kile kinachotajwa kama kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na kuporwa
haki katika uchaguzi wa Zanzibar.
Taarifa hiyo inaonekana kutofautiana na jina hilo na lile la katibu mkuu wa chama hicho ambaye anajulikana kwa jina la Nassor Ahmed Mazrui.
Taarifa hiyo inaonekana kutofautiana na jina hilo na lile la katibu mkuu wa chama hicho ambaye anajulikana kwa jina la Nassor Ahmed Mazrui.
Chini ni nakala ya barua kwenda kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )