



ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Sarah Dumba aliyefariki dunia Machi
21, mwaka huu amezikwa leo katika makaburi ya Magogoni, Kigamboni jijini
Dar es Salaam ambapo ndugu jamaa na marafiki wameshiriki katika mazishi
hayo.
Na Denis Mtima/Gpl
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )