PAMECHIMBIKA!
Habari ikufi kie kwamba bifu jipya mjini kwa sasa ni kati ya wauza
nyago (video queens) wawili kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift
Stanford Giggy Money’ na Asha Salumu ‘Kidoa’ kila mmoja akijiona yupo
juu kuliko mwenzake.

Alipotafutwa Kidoa hakupatikana kujibu mapigo ya Giggy ambaye amekuwa akimchana Kidoa mara kadhaa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )