Featured
Loading...

Mkoa Paul Makonda Atangaza Msako wa Nyumba Kwa Nyumba Kuwabaini Wasio na Kazi Maalum



Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ametangaza msako wa nyumba kwa nyumba
kuwabaini wakazi wa Dar wasiokuwa na Kazi maalum za kufanya.

Amesema Jeshi la Polisi litaanza msako huo wakati wowote na ameomba
ushirikiano wa viongozi wa Serikali za Mitaa, viongozi ambao hawatatoa ushirikiano watakamatwa na kutiwa nguvuni.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top