’Nimekuwa na ndoto ya muda mrefu kama ya miaka mitano iliyopita tumeona wasanii ambao niliokuwa nao MJ Records wakina Izzo Bizness amesimama
mwenyewe ukija kwa Quick Rocka nae kafungua studio kwahiyo huu ni muda wangu’– Shaa
‘Maamuzi ya mimi kwenda kwenye uongozi wakina Tale ilikuwa baada ya mimi mkataba wangu kumalizika kwenye lebo ya Unity Entertainment ya AY nilifanya nao kazi nzuri mpaka zingine zikakubalika ila maamuzi yangu
kwa 2016 kazi zangu zitasimamiwa chini ya record label yangu’- Shaa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )