Baraza
Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) Taifa lililokutana Zanzibar
leo limemfukuza uanachama Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Prof. Ibrahim
Lipumba.
Taarifa kutoka katika mkutano chama hicho unaeleza kuwa, wajumbe wote waliohudhuria wamepiga kura ya kuridhia kufukuzwa uanachama kwa Prof. Lipumba.
Hatua
hii imekuja ikiwa ni siku chache tangu Prof. Lipumba kurejea na kusema
kuwa yeye ni mwenyekiti halali wa chama hicho kufuatia maamuzi
yaliyotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )