Mtoto anapozaliwa kuna vitu vingi anatakiwa kufanyiwa ili apevuke vizuri
na nimekutana na hili moja kati ya hayo ambalo nsingependa likupite mtu
wangu, Kituo cha habari cha Kenya ‘Citizen’ kimeripoti kuwa ukandaji wa
mtoto mdogo unamanufaa mengi ambayo yametajwa kama kumtuliza mtoto,
kumsaidia kuimarisha viungo vyake na kumpa usingizi mnono mtoto mchanga.
Nakusogezea video hapa chini inayoelezea zaidi ukandaji wa namna gani
unatakiwa kwa mtoto unaoelezewa na mhudumu wa afya wa hospitali moja
Malindi mjini, Kenya.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )