Ni kitu kisichopingika, wanaume wengi wazurii chini hawana kitu kabisaa,samahani kama nitakuwa nimewatukana ila ni ukweli mtupu,
Pia licha ya maHB kuna wengine hawana UHB ila nao vibamia..Hapo kuna mgawanyiko wa wanaume sasa,
Kuna
wale ambao,kwenye mambo yote are zero,yaani kwenye kukushika anashika
kama anabofya keypad au anatomasa embe,denda ndo kabisa hajui kitu,akija
kwenye kumalizia yaan daah,ni shida na kibamia chake.
Kuna
wale ambao wako so romantic yaani,wanahendo safi kabisa yaani unaona
pepo hii, akija kutoa mamaaaa kibamiaa, yaani mtu hata akivesha ndom
inakuwa kama soksi ya mkubwa kavaa mtoto kha!!!!
Na wengi hata kwenye kuvua utaona anajishaua,ukimuwahi utaona anajizugisha kumbe anajua utaona mapema
SWALA
NI KWAMBA:Tunajua kwamba Mungu kawapa maumbile hayo,hauwezi
ukabadilisha hata iweje,basi jitahidini hata kuchagua styles ambazo
zitasaidia mwenzio kujisikia kidogo raha,Maana vinginevyo unamuacha
mwenzio na magenye ya ajabu,unadhani ataenda kumalizia wapi imagen wewe
ndo babysweet wake au wewe ndo mume?si ndo mwanzo wa usaliti huu?
Wanawake
tulio wengi hatupendi vibamia,ila ikatokea kibamia akawa mtaalamu wa
kujihami unaweza ukadumu na kushinda game,otherwise hapo tegemea
kudharauliwa haijalishi we ni HB wala nini UHB ni kwenye yaliyomo kwenye
suruali bana..
Wewe kibamia ukiona umedumu na mwanamke,jua huyo dada ni mgeni na akijanjaruka tu utamsahau hata jina lake..
Mimi
mwenyewe sifeel kibamia kabisa,na ikatokea nimekutana nacho nasepa
kimya kimya.mambo gani ya kuchomeka mtu akikohoa knatoka,tena vingine
bila hata kukohoa...
Natanguliza samahani kwa #Teamkibamia lakini nimekuja tu kuwaelezea ni jinsi gani mnavyotuachia maumivu..
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )