Featured
Loading...

WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI RUAHA


WATU kadhaa wanasemekana wamekufa leo asubuhi baada ya basi la Nganga kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso maeneo ya mlimani kilometa kadhaa kutoka Ruaha-Mbuyuni katika barabara ya Iringa-Morogoro ambapo magari yote mawili yameteketea kwa moto.

 
Habari kutoka eneo la tukio zinasema kwamba mmoja wa watu waliofariki ni dereva wa Fuso ambao wanasemekana waliteketea kwa moto huo ulioyaharibu magari hayo.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright 2025 MZALENDO HURU | Designed By Code Nirvana
Back To Top