Live abetter life wengi wetu tumekuwa
watu wa kulalamika maisha magumu, hakuna kazi na muda mwingine tunatupa
lawama kwa Mungu kwanini amekuumba masikini.
Lakini bila kufikilia kwanini uzaliwe
masikini na ukubali kufa masikini? ajira ziko nyingi sana lakini sababu
ni ipi wewe ukose? elimu? rushwa? juhudi? au kukata tamaa? Je tangu
umeamka leo umfanya kitu gani cha maana cha kukuingizia pesa?
Iam sure kama upo Kijiweni, Kitandani au
umejiachia sehemu ya starehe unapiga picha then unalalamika maisha
magumu amka jitume pesa unayo tumia kuweka bando na kusoma umbea.
Uliwahi piga mahesabu kwa week unatumia
shilingi ngapi kuweka vocha katika simu yako? na hiyo pesa ukiijumlisha
kwa mwezi ni shilingi ngapi? Iam sure ni pesa ambayo inaweza kuwa mtaji
wa biashara au mwanzo wa kulipia ada ukasome kozi furani ili uongeze
juudi.
Hao matajiri wanaotutengenezea simu na
vocha wote walianza na 0 now wako nusu number usilalamike maisha magumu
wakati huna juudi yoyote uliyo fanya live a better life tumia vocha yako
vizuri je ungependa kuwa kana Wema Sepetu.
Basi jifunze kujaribu kwani hta yeye
alijaribu kuwa Miss na hakuwa na mategemeo ya kushinda but leo hii
amekuwa tamanio la wengi, always try and never give up hata mimi
sikutegemea kama leo hii ningekuwa kipenzi cha wengi but nilijaribu na
nikafika.
Usiogope always try # Live abetter life# Be Wema fanya Wema
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )