Mwenyekiti
wa makampuni ya IPP huwa mwepesi sana kutoa duku duku ya msitakabali wa
nchi, nakumbuka enzi zile za mzee wa msoga alikuwa akimukosoa kila siku
kwa utendeji wa serikali ile, lakini inakaribia miezi minne mkereketwa
huyu wa wanyonge amekaa kimya kiasi kwamba wafuatiliaji wa maswala ya
siasa tumeingiwa na hofu ama Mengi anaogopa serikali hii au ameikubali
serikali hii.
Watanzania
tulizoea ukosoaji wake, yote aliyekuwa anamkosoa msoga sasa yanaonekana
dhahiri, rais aliyepita kwa kweli bado watanzania hatujawa ilikuwepo
kwa ajili ya nani, maana hii ni noma, wizi kila kona, ufisadi kila kona,
ukwepaji kodi kila kona, mzee amekaa tu, sijui huko msoga anajikia vipi
maana kashfa moja baada ya nyingine, mpaka naona aibu. nchi ilipotea
khaa.
*****SEMA MAWAZO YAKO, MENGI KUKAA KIMYA, ANAOGOPA AU AMEKUBULI SERIKALI HII?
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )