Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Tarime mkoani Mara imeendesha
oparesheni kali na kufanikiwa kukamata mashamba makubwa ya zao la bangi
ikiwemo bangi kavu ambayo tayari imeandaliwa kwa ajili ya kusafirishwa
kwenda nchi jirani kwa ajili ya kuuzwa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )