MUIGIZAJI
mkongwe Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’, amesema hapendi tena
kutumika kwa wanaume ambao hawana msimamo katika maisha yake zaidi ya
kumzeesha.
Akizungumza
na Kilinge, Davina alisema: “Huko nyuma mtu unakuwa na akili ya
kitoto hata unapokutana na mtu anakuambia anakupenda na kuamua kufunga
ndoa nawe (unamkubali), baada ya miezi kadhaa mnatengana.
“Sasa
hivi nimekuwa najitambua vilivyo na uzuri najua yupi anakudanganya au
anakupendea umaarufu tu, hivyo mambo ya kutumika bila mpango siku hizi
hakuna tena kabisa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )