Featured
Loading...

Tishio la ugaidi Chuo kikuu cha SAUT - Mwanza: Wanafunzi na Mhadhili watimka huku mtihani ukiendelea

Kutoka chuo kikuu cha SAUT Mwanza, wanafunzi wa shahada ya uzamili katika biashara MBA, walikuwa na mtihani ghafla akaingia kijana wa wa Kisomali, watu wote mbio kila mtu akipitia upenyo ajuao yeye.

Purukushani kwa kwenda mbele, Mhadhili mbio, wanafunzi mbio.Kumbe yule kijana ni mwanafunzi pia ila alikosea Darasa.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright 2025 MZALENDO HURU | Designed By Code Nirvana
Back To Top