Featured
Loading...

WEMA SEPETU HII SASA NI TO MUCH! LIVE KITANDANI NA BWANA WA LINA!




Staa mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa na aliyewahi kuwa bwana’ke (Linah), Nangari Kombo kitandani. 
Ubuyu! Staa wa Bongo Fleva almaarufu Ndege Mnana, Esterlina Sanga ‘Linah’, amedai kunasa ‘live’ tukio la mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac
Sepetu akiwa kitandani na aliyewahi kuwa bwana’ke (Linah), Nangari Kombo ambaye alipata umaarufu mwaka 2010 alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar na kumkumbatia Mchezaji wa Brazil, Ricardo Kaka kwenye mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo na Taifa Stars

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top