Featured
Loading...

Barnaba Aamua Kuachana na Muziki

Ikiwa zimebaki siku sita tu kabla ya kuumaliza mwaka 2017 na kuingia 2018, staa wa Bongofleva Barnaba Classic ametangaza kuwaaga mashabiki wake kwa mwaka huu na atakuwa kimya kimziki kwa muda.

Mkali huyo wa sauti na uandishi kwenye kiwanda cha mziki Bongo, ameweka wazi kuwa ukimya wake utaanzia kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na kujipanga namna ya kuuanza kwa kishindo mwaka 2018.

“Nikiwa najitoa kwenye mitandao ya kijamii kidogo, ningependa kuwatakia mashabiki, marafiki na familia yangu Heri ya Christmas na Mwaka Mpya”, amefunguka Barnaba kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Pamoja na kujitoa kwake nyota huyo anayetemba na ngoma yake ya Mapenzi Jeneza ameongeza kuwa anajiweka vizuri kuanzia mwonekano mpaka sound ya hit zake zijazo.

“Ninapumzika kidogo ili kuweka mipango yangu vizuri kwaajili ya mwaka 2018. Nitawaletea Barnaba mpya mwenye kila jipya kimuziki na hata Sound” ameongeza.


AUDIO | Ray C - HATUACHANI | Download

AUDIO&VIDEO | IYO Ft. Harmonize - Nakupenda | Watch/Download

AUDIO | Tanzania All Stars - Uzalendo | Download


 
 
 

AUDIO | Diamond Platnumz Ft. Rick Ross - WAKA WAKA | Download

New Video Download | Moni Centrozone - Bongo Super Star | Mp4


 

 

 

 

 

 

New Video Download | Moni Centrozone - Bongo Super Star | Mp4

DOWNLOAD HERE 

 

Diamond Platnumz Ft. Rick Ross - WAKA | Mp3


New Audio Download | Diamond Platnumz Ft. Rick Ross - WAKA | Mp3

Waka Waka (This Time for Africa) (The Official 2017 FIFA World Cup™ Song)

Title
Waka Waka (This Time for Africa) (The Official 2010 FIFA World Cup™ Song)
Artist
Shakira


DOWNLOAD HERE--->>HERE AND WATCH

© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top