Featured
Loading...

Misri ya Mo Salah Wapigwa na Uruguay ya Suarez – Video

TIMU ya Taifa ya Misri imeshindwa kufurukuta mbele ya Uruguay baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0, mechi yao ya kwanza katika michuano ya Fainali ya Kombe la Dunia 2018 zinazoendelea nchini Urusi.

Katika game hiyo, Misri walijitahidi kwa kiasi kikubwa kuzuia mashambulizi ya Uruguay huku wakishambuliana kwa zamu hali iliyopelekea hadi wanakwenda mapumziko walikuwa sare ya bila kufungana.
Mchezaji wa Barcelona na Uruguay, Luis Suarez alikosa mabao kadhaa langoni mwa Misri lakini bahati ilikuwa kwao kwani kunako dakika za lala salama, dakika ya 89 ya mchezo, Uruguay kupitia kwa Jose Gimenez, walipata bao la ushindi.


Licha ya Mo Salah kutajwa kuwa huenda angecheza baada ya afya yake kuimarika kutokana na kuumizwa bega na beki wa Madrid, Sergio Ramos kwenye fainali za UEFA, staa huyo wa Misri na Afrika hakuweza kucheza, badala yake alitazama mechi yote akiwa benchi.


Katika Kundi A, wenyeji Urusi wanaongoza wakiwa na pointi 3 na mabao 5 baada ya kuichapa Saudi Arabia jana, Uruguay anafuata akiwa na pointi 3 na bao 1,  wa tatu ni Misri na wa mwishoi nia Saudi Arabia.

Uruguay wameendelea kuweka rekodi yao ya kutokufungwa na Timu za Afrika kwenye fainali za Kombe la Dunia huku kipa wa Misri, Mohamed El-Shenawy akiondoka kama mchezaji Bora wa mechi ‘Man of the Match’ kwa kuokoa michomo mingi ya Uruguay.

BREAKING: NABII MWINGIRA AGOMA KUPIMA DNA,KISA KASHFA,YA KUZAA NA MKE WA MTU


NABII Josephat Mwingira amedai mahakamani kwamba hayuko tayari kupima kipimo cha DNA na hawezi kulipa fidia ya Sh bilioni saba kwa sababu hajawahi kuzaa wala kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa Dk. William Morris. Nabii Mwingira alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi, Godfrey Mhini alipokuwa akijitetea kuhusu madai dhidi yake kwamba alizini na kuzaa na Dk. Philis Nyimbi ambaye ni mke wa Dk. Morris. “Sifanyi vitu ambavyo sihusiki, aliyebeba mimba ndiye anajua mtoto wa nani, amuulize mkewe mtoto kazaa na nani, uchungaji wangu ni wa Mungu, siwezi kusafishwa kwa DNA,” alidai. Mahojiano ya Nabii Mwingira na Wakili Peter Swai aliyekuwa akimuongoza kutoa utetezi wake yalikuwa kama ifuatavyo: Swali: Tuambie cheo chako ni nani? Jibu: Cheo cha kiroho ni Nabii na Mtume. Swali: Unafanya mahuburi wapi? Jibu: Efatha. Swali: Unamfahamu Dk. Philis na Dk. Morris? Jibu: Nawahafamu wote, ni mtu na muewe, walikuwa washiriki wa kituoni kwangu Efatha, Dk. Nyimbi ni mtoto wa nyumbani, nilisoma na kaka zake, majirani kijijini kwetu. Swali: Mnatokea kijiji gani? Jibu: Tunatokea Kijiji cha Mbaha wilayani Nyasa. Swali: Kuna siku ambayo Dk. Morris alikuwa na ombi lolote kwako? Jibu: Walikuja na mkewe kuomba msaada wa fedha kwa ajili ya kununua vitu katika mnada bandarini? Swali: Shilingi ngapi? Jibu: Ni zaidi ya Sh milioni 16, niliwapa kutoka katika akaunti ya Efatha, lakini mpaka leo hawajarudisha. Swali: Hivyo vitu uliviona? Jibu: Niliviona, ni kama vile vitu vinavyookotwa Marekani, nilishangaa anasafirisha takataka kutoka Marekani mpaka huku. Swali: Ulishawahi kufuatwa na Morris kukulalamikia kwamba una mahusiano ya kimapenzi na mkewe? Jibu: Ha ha ha ha, hapana. Swali: Unafahamu kwamba Dk. Nyimbi ana mtoto? Jibu: Nafahamu. Swali: Kuna siku hata moja aliwahi kukwambia baba wa huyo mtoto? Jibu: Hapana hatujawahi kuongelea kitu kama hicho. Swali: Ulishawahi kuhusishwa katika mgogoro wa mtoto wa Dk. Nyimbi? Jibu: Kwani Morris anasema mtoto sio wake? Swali: Kuna tuhuma hapa, Morris anadai yule mtoto umezaa na Dk. Nyimbi. Jibu: Niliwahi kusoma katika magazeti, sijawahi kuletewa mtoto, lakini nikiletewa nitalea. Swali: Inasemekena wewe ulishiriki katika kikao cha familia kilichotambua mtoto ni wako. Jibu: Hapana. Swali: Kuna madai hapa mahakamani, Morris anaomba umlipe fidia ya Sh bilioni saba kwa kuwa na mahusiano na mkewe, unasemaje? Jibu: Tunaanzaje? Unapolipa lazima uwe umetumia kile kitu, hilo jambo halipo. Swali: Unazungumziaje madai yaliyopo mahakamani? Jibu: Kama hii mahakama inatenda haki, itaangalia kwa haki, Dk Morris atalipa gharama za kunisumbua. Swai alimaliza kumwongoza mteja wake na mahakama ikatoa nafasi kwa Wakili wa mlalamikaji, Respicius Ishengoma kumuhoji maswali. Swali: Naomba nikuite Mchungaji? Jibu: Umetoa wapi hilo jina? Swali: Nini tofauti ya Mchungaji na Nabii? Jibu: Mchungaji na Nabii ni tofauti sana, kama ukisema hakimu na wakili, huoni tofauti? Kila mmoja ana kazi yake. Swali: Ndiyo maana nimekuuliza kutaka kujua tofauti. Jibu: Mimi nahubiri injili, sifanyi kazi moja tu ya kuchunga, ila nina wachungaji chini yangu. Swali: Una watoto wangapi? Jibu: Nina watoto sita, lakini mmoja marehemu. Swali: Wataja majina. Jibu: Lucy, Joshua, Anna, Jonath na Glory. Swali: Glory alizaliwa lini? Jibu: Alizaliwa 2007. Swali: Nikisema kazaliwa Mei 22 mwaka 2007 utakubaliana na mimi? Jibu: Mimi niliyemzaa sikumbuki, wewe unatoa wapi? Alikuambia nani? Mimi siwezi kusema nakubaliana na wewe. Swali: Unakumbuka mlifanya sherehe ya kupongeza kuzaliwa kwa Glory Mei 22 mwaka huo na ukampeleka Dk. Nyimbi Hoteli ya Millenium Tower?

ANDIKA NAMBA YAKO NIKUUNGE KWENYE GRUPU LINALOITWA "MAHABA ZONE" GRUPU HILI NI KWA WENYE UMRI WA MIAKA 18+TU TAFADHALI

MAAJABU YA MTANDAONI,BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO VIDEOS LOADING....
Image may contain: 1 person, closeup

[VIDEO]MHH NI ZAIDI AIBU::DOWNLOAD VIDEO UONE JINSI HAWA WASICHANA WALIVYOKUWA WAKIKATA MAUNO NUSU UTUPU SIKU YA MAZISHI YA MWENZAO

 
VIDEOS LOADING..
 

[VIDEO]BAADA YA KUIANGALIA HII VIDEO,HAKIKA MACHOZI YATAKUTOKA,TAZAMA HII VIDEO LAKINI USILIE.


I will add some of the most important reasons that relate particularly to the health of your children.
Chicken meat and eggs contain special proteins that:
 Allow your children to grow strong Allow their brain to develop so that they will be clever at school

AFTER WATCHING THIS! Tears Will Roll From Your Eyes - WATCH VIDEO

[VIDEO]AIBU YA KUFUNGA MWAKA::MFANYAKAZI WA BENKI AMFUMANIA MME WAKE AKIFANYA UCHAFU NA MFANYAKAZI WAO WA NDANI LIVE GEST..

VIDEOS LOADING....

AFTER WATCHING THIS! Tears Will Roll From Your Eyes - WATCH VIDEO

Msikilize Mdada Glady Anayedai Kutelekezwa Baada ya Kuzaa na Diamond

Miezi kadhaa baada ya Hamisa Mobeto  kujitokeza hadharani na kudai kazaa na Diamond, mdada mwingine aitwaye Glady ameibuka na kudai kuwa ana mtoto wa miezi 7 aliyezaa na Diamond.

Glady ambaye ni mdada anayeishi nchini Kenya anadai kwamba alikutana ni Diamond Platnumz mwaka 2011 kupitia mtandao wa facebook ambapo walianza mahusiano na hatimaye akampa mimba.

Anasema, baada ya kubeba mimba hiyo, Diamond alikata mawasiliano, hali iliyomfanya asafiri hadi Dar es Salaam Tanzania kumweleza mama yeke Diamond ambaye naye alimkana kwa matusi

HATIMAYE MAMA ALIYEOLEWA NA MWANAYE AANIKA SABABU NZITO ,ATOA YA MOYONI LIVE


Betty Mbereko na mwanaye, Farai Mbereko.
BETTY MBEREKO (40) mwanamke anayeishi Mwenezi huko Masvingo, Zimbabwe, ameolewa na mwanaye wa kumzaa aitwaye Farai Mbereko mwenye umri wa miaka 23.Katika hali hiyo ambayo ilitokea mwanzoni mwa mwezi huu wa Oktoba, mama huyo anategemea kupata mwanaye ambaye pia ni mjukuu wake. Mwanamke huyo amekuwa mjane kwa miaka 12 iliyopita ambapo amekuwa akiishi na mwanaye huyo.
Alithibitisha hivi karibuni kuwa ana ujauzito wa miezi sita na hivyo akaona afadhali “aolewe” na mwanaye kwani hakutaka kuolewa na mmoja wa wadogo wa marehemu mumewe, aliosema wanamtamani.Betty aliishangaza mahakama ya kijijini kwake aliposema alianza kuzini na mwanaye miaka mitatu iliyopita. Alisema baada ya kutumia fedha nyingi kumsomesha Farai baada ya kifo cha mumewe, aliona ana haki ya kufaidi fedha ya mwanaye na si mwanamke mwingine.
        Tazama, nilihangaika kumsomesha mwanangu na hakuna aliyenisaidia. Sasa mwanangu anafanya kazi na watu wanasema nimefanya kosa. Acha nifaidi mazao ya jasho langu,” aliiambia mahakama hiyo.Farai alisema yuko tayari kumwoa mama yake na atalipa mahari kwa babu na bibi zake, ambayo baba yake hakuimalizia.Nafahamu baba alikufa kabla ya kumalizia mahari; niko tayari kuilipa Ni yema kutangaza kinachotokea kwani watu lazima wafahamu kwamba ni mimi nilimpa ujauzito, bila hivyo watasema ni mzinifu,” alisema Farai.
        Lakini kiongozi wa kijiji hicho, Nathan Muputirwa, anasema: “Hatuwezi kuruhusu hili litokee kijijini kwetu, kwani hii ni dalili mbaya. Hapo zamani watu hawa walistahili kuuawa lakini leo hii hatuwezi kwa sababu tunaogopa polisi.”
Aliwaonya wawili hao wavunje ndoa yao au waondoke kwenye kijiji hicho ambapo walichagua uamuzi wa pili, na tangu hapo wameondoka kijijini hapo.

Waliofariki Fujo za Nairobi leo kumpokea Odinga ni Watu wawili


Kiongozi wa upinzani Kenya Raila Odinga leo amerejea nchini humo akitokea Marekani na kupokelewa na maelfu ya Wananchi kuanzia uwanja wa ndege.
Inaripotiwa kwamba fujo zimetokea baada ya Polisi kuingilia kati msafara huo ambapo zimesababisha vifo vya watu wawili huku Basi moja la Abiria (Matatu) likiteketezwa kwa moto pamoja na Lori moja la Polisi.
Mahakama ya juu nchini Kenya inatarajiwa kutoa uamuzi wake kuhusu uhalali wa Uchaguzi wa Tarehe 26 October ambapo Uhuru Kenyatta aliibuka mshindi huku Raila Odinga akiususia uchaguzi huo kwa kutoshiriki.  

Mahakama upande wa Watoto yatupilia mbali shtaka la Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond kuhusu malezi ya mtoto wao


Mwanamitindo Hamisa Mobeto amekwaa kisiki mbele ya Diamond Platnumz baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa Watoto kutupilia mbali kesi aliyofunguliwa mwanamuziki huyo juu ya matunzo ya mtoto Prince Abdul.
 
Uamuzi huo umetolewa jana Ijumaa Novemba 10 ,2017 na Hakimu Devotha Kisoka wa Mahakama hiyo baada ya kusikiliza hoja za pande hizo mbili husika.
 
Diamond aliwasilisha pingamizi dhidi ya kesi hiyo iliyofunguliwa na Mobeto akidai kuwa kesi hiyo imefunguliwa kwa kutumia kifungu ambacho si sahihi.  Hoja ambayo ilipingwa na Mobeto.
 
Mobeto alifungua kesi hiyo mahakamani hapo, pamoja na mambo mengine anaiomba matunzo ya mtoto waliozaa na msanii Diamond.
 
Mobeto  anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto ya kila mwezi na alifungua kesi hiyo kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck kutoka kampuni ya uwakili ya Century Attorneys.
 
Kupitia hati hiyo ya madai, Mobeto  anaomba Diamond amuombe msamaha kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.
 
Diamond aliwasilisha hati ya majibu hayo kinzani akipinga maombi hayo ya Mobeto  akidai  gharama anazodai kulipwa kwa mwezi ya Sh 5 milioni  kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.

Mahakama Yatupilia Mbali Kesi ya Diamond, Hamissa Mobetto


Mahakama Yatupilia Mbali Kesi ya Diamond, Hamissa Mobetto Mwanamitindo Hamisa Mobeto amekwaa kisiki mbele ya Diamond Platnumz baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa Watoto kutupilia mbali kesi aliyofunguliwa mwanamuziki huyo juu ya matunzo ya mtoto Prince Abdul.
Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Novemba 10 ,2017 na Hakimu Devotha Kisoka wa Mahakama hiyo baada ya kusikiliza hoja za pande hizo mbili husika.
Diamond aliwasilisha pingamizi dhidi ya kesi hiyo iliyofunguliwa na Mobeto akidai kuwa kesi hiyo imefunguliwa kwa kutumia kifungu ambacho si sahihi.  Hoja ambayo ilipingwa na Mobeto.
Mobeto alifungua kesi hiyo mahakamani hapo, pamoja na mambo mengine anaiomba matunzo ya mtoto waliozaa na msanii Diamond.
Mobeto  anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto ya kila mwezi na alifungua kesi hiyo kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck kutoka kampuni ya uwakili ya Century Attorneys.
Kupitia hati hiyo ya madai, Mobeto  anaomba Diamond amuombe msamaha kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.
Diamond aliwasilisha hati ya majibu hayo kinzani akipinga maombi hayo ya Mobeto  akidai  gharama anazodai kulipwa kwa mwezi ya Sh 5 milioni  kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu. 

Diamond Platnumz and ZARI Love


Nimekuwa Mtumwa wa Wanawake


Nimeficha ficha haya mambo ila najiona kabisa naangamia hivyo ni bora leo niombe ushauri maana hapa pana watu wazima, wanasaikolojia na viongozi wa dini.

Mkasa wangu ni wa hakika na bado nipo katika mateso hata sasa.

Wakati nipo balehe nilikutana na wasichana mbali mbali waliouteka moyo wangu na nikawaeleza hisia zangu, kwa bahati mbaya nilijibiwa karaha na kutoswa sababu ya maisha yangu ya dhiki.
Hali ilikwenda hivyo kwa muda mrefu mpaka moyo wangu ukajenga chuki na wanawake, niliwaona hawana usawa na sio wa kuwa nao karibu.

Katika utafutaji wangu wa maisha ghafla mambo yakabadilika na nikawa nina pesa na kuishi vizuri na nikaanza kujenga nyumba na pia nikawa na miradi pamoja na gari ya kutembelea.

Ni hapo ndipo wasichana wakaanza kuwa karibu na mimi na kunihitaji kimapenzi, na mimi nilishajenga chuki moyoni na nikapanga kuwakomoa, nikajikuta natembea na wanawake wengi tofauti kuanzia wanafunzi, walimu, wasichana tu wa mtaani, machangudoa na wapenzi wa watu.

Nikajikuta dhaifu mbele ya wanawake yaani siwezi kulala hata siku moja peke yangu bila mwanamke na pia mda mwingine nilifanya mapenzi na wasichana wawili tofauti kwa siku moja, haswa kama huyo wa pili aliyenitafuta ni mzuri sana.

Haya mambo sipangi bali najikuta tu inatokea na kila nikimaliza najuta na kusema ndio mara ya mwisho ila punde tu naingia katika vishawishi tena, nilioa mke safi kabisa ili niepuke hali hii ila tuliachana baada ya kunifumania mara kadhaa.

Sasa nina mke mwengine na safari hii nimeoa mke wa ndoto yangu mtoto mzuri sana shombe shombe kiasi kwamba marafiki wanasema kweli mwamba umepata kifaa.

Ila bado ninajikuta natembea na rafiki zake pia wasichana wa mtandaoni kama vile Jf, Badoo, Fb nk na pia nimekuwa maarufu madanguro mengi sana mpaka naona noma.

Mara kadhaa nasafirisha mademu wakali toka mikoa tofauti na kunifuata mimi, sihongi sana na wala sijatetereka ki uchumi na wala sijaathirika ila tu najiuliza nini kipo nyuma ya nguvu hii inayonishinda kujizuia?

Kilichonifanya nijione naingia katika hatari ni kwamba, juzi kushinda jana nilikwenda guest na msichana fulani nilikutana nae juu juu tu, tukafanya mapenzi na tulipomaliza wakati tunatoka kuna jitu la miraba minne lilikuwa likituangalia sana na yule msichana akashtuka sana.

Baadae nilipomuuliza akasema yule jamaa anafanya kazi na mume wake ni FFU kitengo cha doria.

Hakika nikaona hiki ni kifo cha wazi sasa na nimefikia pabaya, haya mambo sipangi ila imekuwa kama ulevi na siwezi kuacha.

Naombeni ushauri wa kunijenga wadau

PICHA: Tingatinga Lilivyofukua mamilioni yaliyokuwa Yamefichwa ardhini

Kama wewe unadhani huna fedha, basi kuna wengine ambao wamezichimbia ardhini, tena kwa mamilioni. Benki ya chini ya ardhi iliyosheheni mamilioni ya fedha, zilizoswekwa ndani ya mifuko myeusi ya plastiki na kufukiwa mchangani, imechimbuliwa na matrekta ya kutengeneza barabara jijini Arusha huku noti nyekundu zikitawanywa kila kona na kufanyika kuwa 'Sadakalawe - Amina,' kwa kila mpita njia ambaye angeweza kujitwalia fungu.

Ilikuwa ni mshikemshike katika eneo la Mianzini mjini Arusha , ambako kuna mradi mkubwa wa upanuzi wa barabara ya kutoka Mianzini Mataa hadi Ilkiding'a unaoendelea.

Watu walipigana vikumbo katika harakati za kujineemesha na fedha zilizokuwa zimetapakaa eneo hilo. Ikiwa imesheheni noti tupu, tena nyekundu na mpya, kufumuliwa kwa akaunti hiyo ya benki ya chini ya ardhi pamoja na kuwa neema kwa wapita njia na wakazi wa eneo hilo, kuligeuka pia kuwa kilio kwa mmiliki wa hazina hiyo, Christopher Akoonay maarufu kama 'Mmbulu' ambaye sasa amejipatia jina jingine la 'Mabulungutu.'

Akonaay ni mkulima, lakini hasa akijishughulisha na ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Yeye hudamka asubuhi kukamua mifugo hao na kisha kusambaza bidhaa hiyo ya maziwa katika maeneo mengi ya jiji katika kuwauzia wakazi wa Arusha.

Na katika siku ya tukio, Akonaay alikuwa yuko kwenye shughuli zake za kuwapelekea maziwa wateja wake, ndipo watengeneza barabara walipofika eneo hilo la Mianzini na tingatinga zao na kuanza kuichimba njia hiyo ya kutoka Mianzini hadi Ilkiding'a katika kata ya Ilboru, inayotenganisha Jiji la Arusha na wilaya ya Arumeru.

Ikiwa imejengwa kwa fito na matope, nyumba ya 'Mmbulu' ilikuwa miongoni mwa zile zilizobomolewa na ni baada ya wamiliki wake, kugoma kuzibomoa wenyewe ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo.

“Shauri letu tulilipeleka mahakamani kudai fidia kabla ya mradi wa barabara haujapita hapa,” alisema Akonaay na kuongeza kuwa mara baada ya kesi yao kutupiliwa mbali na chombo hicho cha sheria, wajenzi hawakusubiri hata saa moja ipite, bali walikwenda moja kwa moja eneo hilo na kuanza kazi.

Baadhi ya wakazi wa Mianzini, wakizungumzia suala hilo kwa masharti ya kutotajwa majina, walisema ni ajabu kwa Mzee Akonaay kuwa na kiasi kikubwa cha fedha na kuzifukia ardhini huku mwenyewe akiishi kwenye nyumba duni ya matope.

Lakini Akonaay ambaye kwa sasa anaitwa 'Mabulungutu,' anasema kuwa alikosa imani na benki maana wakati akifanya kazi serikalini miaka ya 1980, alifungua akaunti na akawa anaweka fedha zake zote benki.

Baada ya kustaafu mwaka 1994 na kuamua kushughulika na ufugaji, hakuzifuatilia tena fedha zake benki hadi mwaka 2000, ambako alipokwenda kuangalia fedha zake aliambiwa kuwa kwa sababu akaunti yake haikuguswa kwa zaidi ya miaka 10, alitakiwa aende Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kujieleza. Hata hivyo, aliona huo ni usumbufu na kuamua kuanza kuweka fedha zake nyumbani.

Lakini hii pia ilimtokea puani baada ya mmoja wa ndugu zake kuzikwapua zote mara baada ya kuzifuma katika vitita vyenye thamani ya Sh milioni 20 na zaidi. Sasa Akonaay akaja na mkakati mpya wa kuhifadhi fedha kwa kuchimba shimo katikati ya chumba chake cha kulala, kilichokuwa upande wa barabara ya Mianzini na kuanza kuweka hazina yake humo.

Lakini tena, bahati mbaya ikiendelea kumuandama, makatapila ya wachonga barabara, yakaifukua benki yake hiyo ya ardhini na kutawanya fedha zaidi ya Sh milioni 35 zilizoishia kuokotwa na wapita njia pamoja na majirani, ambao kwa hofu hawakupenda hata kulizungumzia sakata hilo.

Je, Wivu ni Dalili ya Mapenzi ya Dhati au Roho Mbaya?


Leo nimekutana na huu mjadala mahali ulionifanya nilete hilo swali hapo juu.

Ni hivii, nimekutana na mtu siku za karibuni na kuanzisha urafiki wa kawaida tu. Sasa katika mazungumzo likaja swala la mapenzi na wivu. Mwenzangu anaamini kuwa na wivu sio mapenzi kwa kuwa, wivu ni dalili ya kumnyima mwenzio kupata kile roho inapenda. Kwamba, kwake yeye hata kama ikitokea akaoa, hatomnyima mke wake kutembea na mwanaume mwingine yeyote atayependa. Tena ikibidi atume na video kabisaa ili impe stimu wakati manzi ake analiwa.

Wakuu, je ni kweli wivu ni dalili ya uchoyo? Na kwamba kama unampenda mtu kwa dhati huwezi kuwa mchoyo kwake. Kule uzunguni mume/mke huwa wanapeana nafasi ikitokea mmoja wapo kamtamani mtu mwingine wanakubaliana kuonja. Tuwaeleweje hawa watu? Maana ni binadamu wenzetu.

Nawasilisha hoja kwa majadiliano.

Karibuni

Akina Mama Wazichapa, Wavuana Nguo!


wapigana-wamama-1Mama wawili waliofahamika kwa majina ya Mama Idrisa na Mama Yusuf wakazi wa Baa-Mbili, Mtongani jijini Dar wakiwa wamekunjana.
Na Gladness Mallya
HIVI ni vituko uswahilini! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la hivi karibuni la akina mama wawili waliofahamika kwa majina ya mama Idrisa na mama Yusuf wakazi wa Baa Mbili, Mtongani jijini Dar kuzichapa hadi kufikia hatua ya kuvuana nguo.
Chanzo makini kilichoshuhudia timbwili hilo mwanzo-mwisho na kufanikiwa kupata picha kiliweka wazi kuwa, lilitokea wiki iliyopita huku chanzo kikiwa ni ugomvi wa watoto wa wazazi hao.
wapigana-wamama-2Majirani wakiwa katika hekaheka ya kumaliza ugomvi.
“Ilikuwa ni kama sinema ya bure kwani mama Idrisa na mama Yusuf walianza kupigana kama utani lakini baadaye wakajikuta wakivuana mpaka nguo kisa ugomvi tu wa watoto jamani, hii ni kali ya mwaka,” alisema shuhuda huyo na kuongeza:
“Walifunga mtaa na mbaya zaidi watoto walikuwa wakishuhudia ngumi hizo ambazo wapiganaji ilifika wakati wakawa watupu, ilikuwa aibu sana kwa kweli.”
Baada ya ubuyu huo ulioambatana na picha kutua kwenye meza ya dawati hili, mwandishi wetu alifunga safari hadi eneo la tukio na kufanikiwa kuzungumza na mama Idrisa ambaye aliamua kufunguka kilichosababisha ugomvi huo.
wapigana-wamama-3
Wananchi wakiendelea kuamulia ugomvi huo.
Alisema kuwa, siku ya tukio mwanaye (Idrisa) alikuwa akicheza nje na mtoto mwenzake aitwaye Yusuf ambapo akiwa ndani alisikia kilio, alipotoka alimkuta Yusuf akiwa analia na kusema amepigwa na mwanzake.
“Muda huo mama Yusuf alikuwa ameshafika eneo hilo, akampiga Idrisa akidai anarudishia kama alivyompiga mwanaye, hali ile iliniuma sana.
“Ikabidi nimuulize kwa nini anafanya hivyo wakati aliwahi kusema ugomvi wa watoto hawezi kuingilia? Hakunijibu badala yake alianza kuniporomoshea matusi mazito.
wapigana-wamama-7…Wakiendelea kuzichapa.
“Mimi niliendelea na shughuli zangu huku akiendelea kunitukana mpaka majirani wengine wakawa wanajiuliza anayetukanwa ni nani maana nilikuwa kimya, mwishoni nikamfuata kama mdogo wangu ili tuyamalize lakini alinipiga kofi la nguvu.
“Kutokana na maumivu niliyoyapata nikashindwa kuvumilia, nikamrudishia na hapo ndipo tukashikana mpaka nguo zikatuvuka maana nilikuwa nimevaa blauzi tu na kitenge tukabaki watupu, kiukweli nisingependa haya mambo yawekwe kwenye vyombo vya habari maana ni aibu na ndiyo maana sijaenda polisi wala kwa mjumbe,” alisema mama Idrisa.
Mama Yusuf hakuweza kupatikana baada ya paparazi wetu kufika nyumbani kwake na kuambiwa ameenda kliniki.
Naye mjumbe wa eneo hilo aliyefahamika kwa jina la mama Iddi alisema hana taarifa za tukio hilo na kwamba wanaoweza kulizungumzia ni wahusika.

Kidoa Nusura Aachike

WIKI kadhaa tangu aingie katika uhusiano na jamaa mmoja anayedaiwa kuwa ni kigogo, muuza nyago kwenye video za Kibongo, Asha Salum ‘Kidoa’ kidogo anusurike kuachwa na kigogo huyo baada ya kufumwa meseji za wanaume wengine kwenye simu yake.
Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na muuza nyago huyo, tangu ameanzisha uhusiano na kigogo huyo, ameonekana ni mtu mpole na hata mambo ya starehe ameyaweka pembeni lakini kitendo cha kufumwa meseji kimeharibu kila kitu:
3Kidoa
“Sasa unaambiwa juzi, Sikukuu ya Idd wakati yupo kwenye mtoko na mpenzi wake huyo, muda wote Kidoa alikuwa bize akichati na mwanaume mwingine jamaa akashtukia mchezo na kumpokonya simu, acha kinuke,” kilisema chanzo.
Kidoa alipoulizwa na paparazi wetu alikana ishu hiyo kutokea ambapo alisema siku hiyo hakutoka nyumbani kwao

MDADA ANUSURIKA,KUFANYIWA KITU MBAYA NA WANAUME,UBUNGO JIJIN DAR ES SALAAM.

PICHA ZAIDI.>>>





FIESTA Yarudisha Penzi la Shilole na Nuh Mziwanda....


Wapenda Kunyapia nyapia Udaku wa Mastaa wa Bongo wameachwa njia panda baada ya mastaa Nuh Mziwanda na Shilole kuanza tena kuwa karibu kwa kupostiana kwenye page zao za mitandaoni, Wawili hao ambao siku za njuma walikuwa wapenzi wa kupika na kupakuwa waliachana na kila mmoja kuchukua hamsini zake lakini msimu huu wa Tamasha la Fiesta inasemekana wamekuwa karibu kutoka na kuwa ni wamoja wapo katika watumbuizaji wa Tamasha hilo huku wakisafiri mikoa mbali mbali kitu ambacho kimewaweka karibu zaidi

Nuh Amepost Picha hii katika ukurasa wake wa Instagram:

Baada ya Muda Shilole naye Akajibu Mapigo kwa kuweka picha ambayo inaonyesha alimpiga Nuhu Mziwanda wakiwa katika Chumba cha Hotel.....
Wajuzi wa Kunyapia nyapia Udaku Wanadai Picha hiyo aliyopost shilole na kuiifuta inaujumbe mzito ndani yake , Kuwa inawezekana wawili hao huko walipo kwenye Tamasha wanalala chumba kimoja....



 

Kanitafutia Kazi Sasa Nimekua Mtumwa wa Ngono Kwake


Hi guys, niaje?

Ni miezi miwili sasa tangu nimeacha kazi kampuni ya zamani, na sasa nipo kwenye kampuni nyingine, hii kazi mpya nimetafutiwa na Boss wangu ambae ndie mkuu wa idara yetu, nimepanda cheo kidogo, kule nilikuwa Karani na huku kupya mimi ni Supervisor.

Sasa huyu Boss alieniingiza kazini nimekua na urafiki nae tangu nimeingia hapa, kitu kinachonikwaza ni mwenendo wa huyu Boss wangu, yaani nimekua kama mtumwa, wakati wote anataka tufanye ngono, jioni wakati wa kuondoka anataka tubaki ofisini kwake, najikuta nafika home saa tatu hivyo kumkuta Mr wangu amesharudi Muda, inakua ugomvi, inabidi nimdanganye kuwa kazi mpya imekua too demanding kwangu, nachelewa kutoka.

Weekend ni hivyo hivyo, inabidi nisingizie home kuwa tunatakiwa kazini hata Jumapili, nimejikuta naishi kama mtumwa kwa sababu ya hii kazi aliyonipa huyu Boss, maneno maneno yamekua mengi hapa kazini miongoni mwa Staff wenzangu kuhusu mwenendo wangu na huyu Boss, nina wasi wasi maneno haya yanaweza kumfikia Mr wangu ikawa shida.

Natamani kuirudia ile kazi yangu ya awali, kazi hii mpya napata mshahara mzuri lakini nimekua kama mtumwa, wakati mwingine nikionesha dalili za kumgomea kubaki jioni anakua mkali na kuanza vitisho kwamba eti '' unasahau nani kakuweka hapo ''Inabidi tu nishiriki nae ingawa sipendi.

Naombeni ushauri nifanyeje?
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top