Watu
hao wanamshahuri Mh Rais Magufuli vibaya hasa katika kipindi cha
mgogoro wa Zanzibar walimshauri asiingilie mgogoro huo huku wakijua kuwa
wahisani watajitoa hili waone serikali anayoiongoza inamaana nahii
awaliifanya makusudi kabisa wakijua itakuwa hivyo!
Wao hapo wanafurahia moyoni kuona serikali inayumbishwa na wahisani.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
