Featured
Loading...

Unafahamu alichokikanusha Harmonize kuhusu Diamond Platnumz?


Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva.
Mei 11, 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya Harmonize kukana kucopy sauti na stlye za Diamond Platnumz ambaye tangu kwenye Aiyola na Bado wadau wanasema kama anamcopy Diamond.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top