Mtunzi : Eddazaria g.Msulwa
Ilipoishia....
Nikapata
matumaini ya uwepo wake na moja kwa moja nikaufungua mlango wake na
sikuamini macho yangu baada ya kumkuta akiwa ananyonyana denda na
mwanaume mwengine ambaye kwa haraka nikamtambua ni derick mume wa madam
mery
Endelea...
Sheila
akastuka sana kuniona nikiwa nimesimama mbele yao,hata derick ambaye
mimi na yeye ni maadui kama paka na paya akakastuka sana na
wakaachiana.Macho yangu kwa hataka nikayazungusha katika enoe la chini
kutafuta kitu kizuri ambacho ninaweza kupambana nacho ila
sikuona.Nikatazama nje nikaona kupande cha mbao kilicho chongonga vizuri
na kina unene mkubwa kiasi.
Nikakifwata
kwa haraka na kurudi ndani na kumkumba derick ambaye alikuwa
anakimbilia kuufunga mlango kwa ndani,akaanguka vibaya na kunipa nafasi
ya kuanza kumshambulia kwa haraka.Kwa nguvu zangu zote nikakitulisha
kipande cha mbao kwenye magoti yake na kumfanya anguke chini akitoa
ukulele wa maumivu makali.
Sheila
akaanza kubabaika kwani siku zote ananijua nikiwa na hasira ninakuwa
ziadi ya mnyama mkali,kwa kutumia kigoti ya mguu wa kulia nikakitulisha
kwenye kidevu cha derick na kumfanya arushwe juu kidogo huku meno
kadhaa yakidondoka sakafuni
“eddy utamuua.....”
“wewe malaya funga bakuli lako”
Derick
akajaribu kurusha teke,nikalidaka huku nikimtazama kwa
hasira.Nikamsukuma na akajigonga kwenye kabati lenye tv na redio
kubwa.Derick akaanza kutokwa na machozi akijaribu kuniomba msamaha ila
sikumuelewa kabisa kwa kitu anacho niambia.
Kwa
kutumia gongo nikaanza kumshambulia kwenye miguu yake,nikitumia nguvu
zangu zote kuiamiza kwa kipande cha mbao na kuzidi kumpa maumivu
derick.Sheila akanidandia mgongoni akijaribu kunizuia,nikageuka na
kumshika sheila kichwa chake na kumtazama kwa macho makali.Nikampiga
kichwa kichwa cha uso na kumfamya ayumbe kama tiara,nikampiga buti
nililo muangushia kwenye sofa na kuanza kulia kwa maumivu kalali.
Nilipo
hakikisha miguu ya derick haifanyi kazi yoyote,nikaingia jikoni na
kuchukua kishoka cha kukatia nyama chenye makali,kabla sijatoka nikaona
kamba ikiwa kwenye mfuko.Nikavichukua kwa pamoja na kutoka sebleni na
kumuona derick akijiburuza akijaribu kwenda nje huku akilia.Nikaishika
miguu yake na kumburuza hadi alipo sheila,
“eddy mpezi wangu,nakuomba unisamehe....Nisikilize nakuomba”
Sikuwa
na haja ya kumsikiliza sheila,nikamshika sheila kichwa chake na
nikachukua vipande vya vitambaa vya masofa na kumkandamiza navyo mdomoni
na kumfanya ahangaike agaike,nikamfunga kwenye mikono na miguu.Derick
wakati wote anakoroma kwa kulia na maumivu.Nikatoka nje na kulifunga
geti na kurudi ndani na kuufunga mlango wa kuingilia
“sheila naamini mimi kwako si wakusimuliwa,ninaroho ya binadamu na shetani.....Leo nahitaji unijue mimi ni nani?”
Nilizungumza
kwa hasira na sauti nzito iliyo jaa mikwaruzo mingi.Nikamshika derick
mkono wake wa kulia,kumbukumbu ya mwanangu alivyompiga chini ikapita kwa
haraka kichwani kwangu,nikanyang’ata meno yangu kwa hasira.Nikachukua
kishoka na vidole vya derick nikavilaza sakafuni huku nikivikandamiza
kwa kutumia mkono wangu wa kushoto
“no...Usinifa.......”
Nishoka
kikatua kwenye vidole vyake na kuvitawanyisha kwenye sakafu,dericka
akatoa ukulele mkali ila nikamzaba ngumi ya shavu na akabaki
akigugumia.Sheila akabaki akiwa ameyatoa macho kama amepigwa mshale wa
mgongo.Nikavikunyanya vidole vyake vyote na nikaviweka kwenye meza ya
kioo.
“derick leo utakufa kifo cha taratibu kama mwanangu ulivyo mfanya.”
Nikavua
tisheti niliyo ivaa,nikaingia jikoni na kuchukua sahani na kurudi nayo
ndani sebleni.Nikamfunga derick akamba za miguu,nikamsokomeza vitambaa
na yeye kwenye mdomo.Nikauchukua mkono wake wa kushoto ulio na vidole
vyake kamili.
Nikamtazama
machoni kwa macho ya dharau,kisha nikaupitisha katikati ya miguu yangu
na akabaki akinitazama,nikaizungusha miguu yangu na kuusababisha mkono
kutoa mlio wa kuvunjika mifupa iliyopo kwenye mkono wake.Dericka
akaendelea kulia huku akigaragara chini.Nikaibaeba sahani yenye vidole
hadi jikoni,nikaweka kikaangio kwenye jiko la gesi na
kuliwasha,nikamimina mafuta mengi ya kula kisha nikavidumbukiza vidole
vyote kwenye kikaangio na kuongeza moto ili viive haraka na kurusi
sebleni.
Sheila
akanitazama huku machozi yakimwagika,mlio wa simu kutoka kweney mfuko
wa suruali ya derick ukaanza kusikika.Nikaitoa simu yake ikiita na
kukuta ni madam mery ndio anapiga simu kwani imeandikwa ‘wife’ na
pembeni kuna picha yake.Nikamtazama sheila na kumfwata,nikamshika nywele
za kichwa chake.
“sikia wewe malaya,zungumza na huyu mjinga mwenzako.Jitambulishe kuwa wewe ni mke mwenzake sawa?”
Sheila akatingisha kichwa,simu ikakata na baada ya muda ikaanza kuita tena,nikamtoa sheila vitambaa mdomoni.
“zungumza naye”
Nikaminya kitufe cha kupokea na kuiweka simu iwe kwa sauti kubwa(laudspeker) na kuisikia sauti ya madam mery ikaanza kuzungumza
“haloo mume wangu”
“wewe mshenzi nimekuambia achana na mpenzi wangu.”
“kwani wewe ni nani na namba ya mume wangu umeipataje?”
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )