Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Loading...
BAADA YA KUMZALILISHA PNC,USTADHI JUMA NA MUSOMA ADAIWA KUFULIA ILE MBAYA KWA SASA
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
CodeNirvana
Habari
zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka
mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia
magoti Ostazi kumuomba msamaha na kujikuta akidhalilisha kwa Video na
Picha kuwekwa mtandaoni na Juma