Mshambuliaji wa Yanga Hamis Tambwe amefanya jambo la ajabu kuwai kutokea kwenye ligi kuu Tanzania Bara baada ya kupachika magoli manne peke yake wakati Yanga ikipata ushindi wa bao 8-0 dhidi ya Coastal Union.
Mabao mengine ya Yanga yamefungwa na Simon Msuva aliyefunga mabao 2 peke yake wakati Salum Telela na Mliberia Kpah Sherman nao walitupia bao moja kila mmoja na kukamilisha ushindi wa bao 8-0 ushindi ambao pengine utavunja rekodi katika ligi kuu.
Kwa ushindi huo Yanga wamezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kuu kwa kufikisha pointi 43.
Tambwe ni mchezaji wa kwanza kufunga magoli manne kwenye ligi kuu bara msimu huu.Huku yanga ikiandika Ushindi mkubwa zaidi kuwai kutokea Ligi Kuu Tanzania Bara.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )