| Wachezaji wa Barcelona wakishangilia baada ya kubeba kombe hilo kwa kuifunga Juventus 3 kwa 1 |
| Wachezaji wa Barcelona wakisubiri kukabidhiwa kombe |
| Neymar akilibusu kombe hilo |
| Wachezaji wa Barcelona wakiwa katika furaha ya aina yake sambamba na kombe |
| Washambuliaji wa barcelona kuanzia kushoto Suarez,Messi na Neymar wakiwa wamelishika kombe muda mfupi baada ya kutawazwa mabingwa |
| Lionel Messi akiwa amebeba kombe hilo |
| Hapa Gerard Pique akizitoa nyavu golini ili azivae kama ishara ya kusherekea ubingwa huo |
| Beki Gerard Pique akiwa amezivaa nyavu ni baada ya timu yake kubeba ubingwa wa Uefa |
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )