Wabunge wa Chadema, Halima Mdee na Said Kubenea wanashikiliwa na jeshi
la Polisi jijini Dar es Salaam wakidaiwa kumfanyia vurugu Katibu Tawala
wa Dar, Theresia Mmbando juzi baada kutangaza kuahirisha uchaguzi wa
meya na naibu meya katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar .