Jina la msanii wa P Square analotumia kama solo artist ‘Mr P’ limepondwa
na kukataliwa na mashabiki wa muziki Nigeria na wengi wametoa majina
kadha anayoweza kutumia kama solo artist.
Majina haya ni
Mr Pedro>Ikimaanisha Peter kwa lugha ya Spanish au kilatino
Pitrus Mushica
P-Money> Ni vizuri jina la msanii lihusishwa na pesa kama bosi wa Kcee E-Money.
P-Love> sababu ya uimbaji wake anafaa sana kuwa na jina kama hili.
Young P>Hapa sina la kusema.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )