Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais
haijampendenza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni (
kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ).
Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani".-Zitto Kabwe
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )