Leo Nimesoma Makala moja katika Gazeti fulani wakimuongelea Msanii Vengu
Ambae alikuwa Original
Comedy kabla ya kuanza kuugua Mwaka 2009 kiasi
cha kupelekwa India kupata matibabu, Gazeti hilo wamesimulia jinsi
walivyofanya juhudi za kumtafuta kijana huyo ili kujua anaendeleaje
baada ya miaka mitano sasa ya ukimya..lakini bila mafanikio hawakuweza
kupata lolote la maana kuhusu alipo ama afya yake.....
Masanja na Wenzako wa Original Comedy sisi Washabiki wa Vengu tunataka
kujua alipo na hali ya yake kiafya kwa sasa...Tumemmiss.......
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )