Featured
Loading...

Video: Dudu Baya Adai Hajawai Tumia Madawa ya Kulevya, Bangi, Wala Kunywa Bia Lakini…

 
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Dudu Baya amefunguka kwa kusema kuwa katika maisha yake ya muziki hajawai tumia Madawa ya kulevya, kuvuta sigara wala kunywa bia.
Rapa huyo ameiambia Bongo5 kuwa yeye ameeputa kutumia madawa ya kulevya kwa kuwa amekuwa akiishi na watu ambao wameathirika.
“Mimi sivuti sigara, sinywi bia wala situmii Madawa ya kulevya na sijawai kushawishika,” alisema Dudu. Mimi ni mnywaji wa bapa (Konyagi), lakini sio vinywaji vingine,”

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top