Ajali mbaya sana imetokea jana Kariakoo Gerezani, watu sita wamepoteza
maisha papo hapo akiwemo konda wa kampuni ya Uda dereva kakimbia baada
ya basi hilo kugongana na Treni...Mungu awalaze mahali pema wote
waliopoteza maisha
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )