Featured
Loading...

Jose Mourinho alivyogoma kusaini jezi ya shabiki wa Chelsea China


Manchester United kwa sasa ipo China kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu na mashindano mbalimbali, kama ilivyo kawaida kwa mashabiki wa soka wanapokutana na wachezaji au makocha wao huwa wanaomba wasainiwe vitabu vyao vya kumbukumbu au jezi.
July 22 2016 kocha wa Man United Jose Mourinho ameingia kwenye headlines baada ya kugoma kusaini jezi ya Chelsea aliyoombwa na shabiki wakati akiendelea kusaini jezi za mashabiki wa Man United, Mourinho wakati anasaini alionekana kuikwepa jezi ya Chelsea huku akitikisa kichwa kuashiria kugoma.
LONDON, ENGLAND - DECEMBER 19: A Chelsea fan holds a banner to support Jose Mourinho prior to the Barclays Premier League match between Chelsea and Sunderland at Stamford Bridge on December 19, 2015 in London, England. (Photo by Clive Mason/Getty Images)
Hii ni moja kati ya mabango ya mashabiki wa Chelsea waliokuwa wanaonesha love kwa Mourinho wakati yupo Chelsea.
Bado mashabiki wa Chelsea wanamuheshimu na kumpa status ya kuwa moja kati ya malegend wa klabu hiyo, ila kitendo cha kufukuzwa kwa awamu mbili tofauti kinatajwa kumfanya Jose Mourinho kuwa na kinyongo na Chelsea

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top