Wakati akizungumza nao Lowassa amesema chama hicho kinatakiwa kiachane na uanaharakati na maandamano ili kiweze kujipanga kuchukua nchi 2020, Lowassa amesema…….
’Chama cha siasa kazi yake ni kukamata dola basi, hakuna kitu kingine duniani, vision ya chama cha siasa ni wanasiasa kukamata dola, mnapokaa hapa mjiandae kukamata dola na sio kitu kingine, acha habari ya maandamano, maandamano ni process’
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )