Wataalamu hao waligundua kwamba nagalase enzymes protein iliongezwa katika chanjo. Nagalese inazuia uzalishwaji wa vitamin D mwilini, ambayo mwili unahitaji sana hivyo vitamin kujikinga na kuua seli za kansa.
Vilevile inasemekana Protein ya Nagalase inatumika kuunda viini vyote vya saratani.
Protini hii pia hupatikana katika viwango vya juu sana katika watoto wenye ugonjwa wa akili
Nagalase inazuia mwili kutumia vitamin D ambayo inasaidia kupambana na saratani na matatizo ya akili kwa watoto.
Kupunguza watu na kuweka sumu kwenye chanjo....ni kama sheria lazima mtoto achomwe hizo sindano. Jinsi wanavyoua wanavyotengeneza dawa za kuua taratibu, Wakidhani wao wataishi milele, Watu hawa hawana mioyo ya huruma.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )