Featured
Loading...

Mtumishi wa Takukuru Auwawa na Kisha kulawitiwa Manyara



Taarifa za mauaji wilaya kiteto Mkoa Manyara binti knobs ajulikanae kwa  jina la Eva aliyekuwa akifanya kazi Pccb (Takukuru) ameuawa na mtu asiyefahamika nyumbani kwake na Kulawitiwa na kisha Kuuwawa. upelelezi bado unaendelea na Mshukiwa mmoja mikononi mwa polisi kwa upelelezi zaidi. M/mungu ailaze roho ya marehemu peponi Amin...

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top