Featured
Loading...

Rais Magufuli kamhamisha DC na kumteua mwingine



July 7 2016 tumesogezewa taafa kutoka Ikulu Dar es salaam ambapo Rais John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mpya kwa kamteua Deogratius Ndejembi kuwa mkuu wa wilaya ya Kongwe na kumhamisha John Palingo kwenda wilaya ya Mbozi, baada ya aliyeteuliwa kuwa DC wa Mbozi Ally Maswanya kuomba uteuzi wake utenguliwe.
WhatsApp-Image-20160707
U

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top