Featured
Loading...

HATIMAYE RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AMZUNGUMZIA HIVI RAIS MAGUFULI, ASEMA MAGUFULI ANAFANYA.........................

Rais anayemaliza muda wake nchini Marekani,Barack Obama amekumbushia wakati alipokutana na mwalimu Nyerere Washington DC,wakati huo akiwa mwanafunzi .
Akiongea katika kipindi maarufu cha televisheni cha JImmy Kimmel Live ,Obama alionekana ni mtu mwenye mambo mengi mazuri ya kumuelezea mwalimu huku akikumbuka sentensi moja ambayo mwalimu alimwambia “You are truly amazing black male,it takes million black youth to get one of your type”
Obama aliendelea mbali zaidi na kudai anaziona ndoto na mawazo ya mwalimu kwa rais wa sasa wa Tanzania.
“God bless the deads ,I know 1 thing for a fact,that old man is resting in eternal peace so long as Magufuli is doing what he does” aliongeza Obama.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top