Kichocheo cha testosterone au kwa Kiswahili , japo
huusishwa zaidi na upande wa mwananume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili
yaani mwanamke na mwanamme pia.kadiri umri unavoenda mbele basi kiwango cha
uzalishaji wa kichocheo cha testerone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki
kunaambatana na ukuaji wa tezi dume (prostate gland),kupotea kwa nywele na pia
saratani mfano saratani ya tezi dume.
.KAZI
KUBWA YA KICHOCHEO HIKI NI KUONGEZA MSUKUMO NA HAMU YA TENDO LA NDOA,
KUIMARISHA MISULI NA MIFUPA MWILINI.
NINI
KINAHITAJIKA ILI KUZALISHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE?
Ili
kuhakikisha uzalishaji wa kichocheo cha kiume unafanyika, mwili unahitaji
virutubisho au viini lishe mbalimbali, baadhi ya viini lishe hivyo ni madini ya
ZINC na vitamin D3, vitamini D inaweza
kuzalishwa na mwili pale ngozi yako inapokutana na mwanga wa jua, hapa
nazungumzia mwanga wa asubuhi
wakati jua ndo linachomoza na pia lile jua la jion
karibia na kuzama, hivyo utakubaliana na mimi kuwa wengi wetu tunakosa vitamini
D kwa sababu muda mwingi tunautumia tukiwa ndani tukiendelea na shughuli zetu.
Zinc ni madini muhimu ambayo hupatikana kwenye baadhi ya vyakula.
NINI
HASA KINASABABISHA KUPUNGUA KWA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE KWENYE DAMU
Mawazo
au stress ni muuaji asili wa kichocheo cha testerone, pale unapokuwa na stress
basi Tezi ya Adrenal hutengeneza kichocheo iitwayo Cortisol ambayo inapoenda
kwenye damu hupunguza ufanyaji kazi wa kichocheo cha kiume cha testosterone
ndani ya mwili. Hivyo kama unataka kuepusha tatizo hili ni wazi kwamba
unahitaji kupuza stress na kiwango cha cortisol.
AINA
ZA VYAKULA AMBAVYO HUSAIDIA KUONGEZA UZALISHAJI WA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE
Ijapokuwa
kuna njia nyingi za kusaidia kuongeza kiwango cha kichocheo cha kiume au
Testosterone, uzalishaji wa kichocheo hii unategemea zaidi upatikanaji wa viini
lishe fulani ambavyo vinapatikana ndani ya vyakula tunavyotumia.
1.
KOMAMANGA (POMEGRANATE)
Tunda hili zuri lenye
rangi nyekundu likiwa limeiva limekuwa likitumika kama dawa kwa karne nyingi
sasa. Kutokana na uwezo wake mkubwa kama kiondoa sumu (antioxidant), pia upatikanaji
wa vitamini A,C, E na madini ya chuma, tafiti za kisayansi zinasema kuwa
unywaji wa glass 1 ya juisi kwa siku itokanayo na matunda haya inaongeza kwa
asilimia 16 mpaka 30 ya hamasa ya tendo la ndoa. Lakini pia inashauriwa zaidi
kula tunda lenyewe ili kwanza kufaidi nyuzinyuzi (fiber) ambazo zina umuhimu
kiafya pia itakusaidia kutokula kiwango kikubwa cha sukari kilichopo kwenye
matunda.
2.
MAFUTA YA MIZEITUNI
Mafuta ya mizeituni
yana uwezo mkubwa sana wa kuongeza kiwango cha kichocheo cha Testesterone
kinachozalishwa na mwili. Tafiti zinasema watu wanaotumia mafuta ya mizeituni
kila siku,kiwango cha testosterone huongezeka kwa asilimia 17 mpaka 19 ndani ya
week.
3.
NAZI
Mwili unahitaji mafuta
mazuri ili kuengeneza kichocheo nyingi, ikiwemo kichocheo cha testosterone.
Nazi na aina zingine za nuts kama karanga zinasaidia mwili kutengeneza mafuta
mazuri ambayo yanahitajika na mwili, pia mafuta yanayopatikana kwenye nazi
husaidia mwili kuwa na uzito mzuri na pia kupunguza mafuta mabaya yasiyohitajika
na mwili na hivyo utagundua kuwa kurekebishwa kwa uzito wa mwili basi
kunasaidia uzalishaji wa kichocheo cha kiume na utakubaliana nami kuwa uzito
mkubwa ni chanzo cha tatzo la upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kupungua
kwa uzalishaji wa kichocheo cha kiume.
4.
MBOGA ZA MAJANI
Mboga za broccoli na
cauliflower zinasaidia mwili wa binadamu kutoa kiwango cha kichocheo cha
estrogen kilichozidi ndani ya mwili na hivyo kuongeza kiwango cha testosterone
ndani ya seli
5.
PROTINI ITOKANAYO NA MAZIWA
Protini
hii ambayo
hupatikana kwenye sehem ya maji ya maziwa inazuia mwili kutengeneza kias
kikukwa cha kichocheo cha cortisol na hivyo kuongeza uzalishwaji na
ufanyaji kazi wa wa kichocheo cha Testosterone, hapa ielewele kwamba
kichocheo
hizi mbili huwa zinapishana moja ikiwa nyingi kwenye damu basi ingine
huwepo
kwa kias kidogo kwenye damu.
DALILI ZIFUATAZO
ZINAONESHA KWAMBA UNA UPUNGUFU WA KIWANGO CHA TESTOSTERONE
·
Mwili kukosa nguvu mara kwa mara
·
Upungufu wa nguvu za kiume
·
Kupungua kwa hamasa ya tendo la ndoa
·
Kuongezeka uzito kupita kiasi
·
Shinikizo la damu kupanda
·
Kupungua kwa uwezo wa misuli kufanya
kazi
NJIA
ZIFUATAZO ZITASAIDIA KUONGEZA KIWANGO CHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE NDANI YA
MWILI NA KUEPUSHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.
MAZOEZI YA MWILI
Kupunguza uzito
usiohitajika na mwili ni njia mojawapo asilia ya kuongeza kiwango cha kichocheo
cha kiume.
2.
PUNGUZA KIWANGO CHA MSONGO WA MAWAZO
Mwili Unapokuwa na
msongo wa mawazo basi hupelekea uzalishaji kwa wingi wa homoni iitwayo cortsol
ili kupamban na hali hiyo, lakini uoande wa pili ni kwamba kiwango kikubwa cha
cortsol kwenye damu hupelekea ufanyaji kazi ya homoni ya kiume yaani
testosterone kupungua
3.
PUNGUZA MATUMIZI MAKUBWA YA VYAKULA
VYENYE SUKARI NA WANGA
Matumizi makubwa ya
vyakula vyenye wanga na sukari hupelekea mwili kutengezeza kiwango kikubwa cha
homoni ya insuini ili kubadilisha kiwango hcho cha sukari na kukihifadhi kama
mafuta, hivo mpenzi msomaji tambua kwamba kadiri unakula wanga na sukari nyingi
ndipo kias kikubwa cha insulini kinavomwagwa kwenye damu na ndivyo ufanini na
utolewaji wa homoni ya kiume unavopungua.
TEZI DUME NI NINI?? Na UHUSIANO ULIOPO KATI YA
TEZI DUME NA UZALISHAJI WA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE
TEZI
DUME NI NINI
Hii
ni tezi (kokwa) ambayo inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika
shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa ni kutengeneza maji maji ya uzazi
kwa mwanaume(shahawa) ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume
zilizotengenezwa kutoka kwenye korodani na husaidia kusafirisha mbegu za kiume
na kuzifanya zibaki hai kwa muda unaostahili. Kikawaida wanawake wana kiwango
kidogo sana cha kichocheo cha testosterone kwa maisha yao yote
Tezi
hii huwa inaongezeka uzito au ukubwa kadri umri wako unavyozidi kukua. Na
nimekwambia kuwa tezi hii ipo katika shingo ya kibofu cha mkojo na hivyo basi
ukuaji wake unaweza kuathiri mfumo mzima wa utoaji mkojo kwenye
kibofu(Incomplete bladder emptying) .
Tafiti zinaonesha kwamba tezi huanza kuongezeka
uzito kuanzia miaka 25, na huendelea kukua kila siku kadri umri unavyo enda.
Kuongezeka kwa uzito wa tezi yako ya kiume sio tatizo kimatibabu kwani kipimo
cha kuonesha moja kwa moja umefikia hatua sio nzuri ni pale unapoanza kupata
dalili zenye kuzuia mkojo kutotoka vizuri (obstructive symptoms). Hivyo uzuri
ni kwamba kuanzia pale tezi inapokuwa inaongezeka ukubwa hadi kufikia kuonesha
dalili mbaya ni hadi unapofikia angalau umri wa miaka 60 na kuendelea , pia
inaweza hata ikatokea hata unapokuwa una umri chini ya miaka 50 inategemea na
mwili wako kibaolojia. Basi kukua huku kwa tezi bila sababu ya msingi tunaweza
tukawa na hitimisho la magonjwa makuu mawili au matatu,Kwanza Benign Prostate
Hypertrophy (BPH) aka Kukua kwa tezi dume, pili Prostate cancer Hii ni kansa ya
tezi dume na Tatu Uvimbe kwenye kibofu cha mkojo.
Tafiti zinasema kwamba tatzo la Tezi dume linaweza
kuziwa kutokea kwa njia za nje, yaani namnisha kwa kutumia ama kula vyakula
fulani fulani, kiwango kikubwa cha kiini lishe kiitwacho lycopene husaidia
kuondoa uwezekano wa mtu kuugua tezi dume. Lycopene hupatina akwenye matunda
yanya. Hapa mpenzi msomaji unaweza kujiuliza kama tunatumia nyanya kila siku
kwenye mboga je iweje tuugue tatizo la tezi dume?? Jibu ni kwamba hapana kwa
sababu kiasi kidogo sana cha lycopene
hufonzwa na mwili kutoka kwenye matunda ya nyanya tunayokula hivo inahitaji ule
mamia ya nyanya kila siku ili kufidia hilo gepu la kiasi chote kinachotakiwa.
HITIMISHO
Mpenzi msomaji baada ya kuona kuwa Testerone ndio
kichocheo kinachomfanya mtu awe mwanamme, yaani kuweza kufanya majukumu ya
kimwili kama mwanamme, ni wazi kuwa utakubaliana nami kwamba upunguvu wa kichocheo hiki moja kwa moja
kunapelekea TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ambalo linasumbua watu wengi
sana kwa sasa.
LAKINI KAMA
TAYARI UMESHAPATA TATZO LA KUKUA KWA TEZI DUME AMA UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZA
KIUME BASI TUMEFANIKIWA KUTENGENEZA KIRUTUBISHO CHENYE KIWANGO KIKUBWA CHA
LYCOPENE, kitasaidia kupenya ndani ya tezi dume, kuua bacteria na pia
kukarabati sehem zilizoathiriwa na bacteria na hivyo kuzuia kutokea kwa
saratani ya tezi dume.
Kirutubisho hiki kina vidonge 30 na unatumia vidonge viwili
mara mbili kwa siku. Kwa maoni ushauri na tiba tunapatikanaTupe Maoni Yako( Matusi Hapana )