Featured
Loading...

Sallam, Meneja wa Diamond Kuja na Kituo Chake Cha Redio


Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam anatarajia kuanzisha redio yake ya mtandaoni (online radio).

Taarifa hiyo ilitolewa na Romy Jons, anayedai atakuwa mmoja wa watangazaji wa redio hiyo itakayojulikana kama DSM FM.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top