Hivi Ile michirizi inayoonekana kwa baadhi ya kinadada nyuma ya goti
wakiwa wamevaa sketi fupi huwa ni ishara ya utamu wao kama Mwana FA
alivyoimba "Michirizi ya utamu nyuma ya goti mimi hoi na moyo hai sio
toi " au ugonjwa wa ngozi?
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )