Ndugu zangu wanajamvi...kwanza naomba niulize, mtoto wa MJOMBA angu ni
ndugu kivile?..Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba angu kwa
kipindi kirefu...mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo,
ila sasahivi chuchu konzi...msambwana umenawili..kwahiyo ameanza
kubadilika, muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza
tucheze huku nimbambie ila nakataa,,muda mwingine anakuja kunikaribisha
chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu
dushe limeninginia yeye anaingia tu..muda mwingine anavaa kanga moko tu
au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu hukukhanga imeloa anadai
mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha...Sasa
najiuliza nimle? au ntakosea?..
maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine..Naombeni ushauri jamani..
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )