Akijulikana kama ni tajiri tapeli na wengine wakihisi kama amepungukiwa akili lakini kulingana na maneno yake anayo yasema, uchunguzi umefanyika wa kina na kugundua kuwa ni kweli hiyo kampuni ipo na mmiliki wake ni mtu mweusi huko nchini Urusi.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )