Ajali mbaya yatokea amani mjini zanzibar Lori moja limefeli break na
kusababisha majeruhi na vifoo kadha vya watu. Gari hilo lilifeli break
kuanzia kilimani cha welezo na kugonga magari kazaa na vespa na watu pia
na kumalizikia skuli ya nyerere..
Tutakutetea Habari kamili Muda sio Mrefu..
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )