Featured
Loading...

VIDEO;DKT. SHIKA ALIPWA MAMILIONI ALAMBA SHAVU SOKA BET


VIDEO;DKT. SHIKA ALIPWA MAMILIONI ALAMBA SHAVU SOKA BET

Dk Shika, ambaye alishikiliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano akituhumiwa kuvuruga mnada wa nyumba hizo za mfanyabiashara wa jijini Dar es Salaam, Said Lugumi leo ameibukia na kufanya tangazo la Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Sokabet ( www.sokabet.co.tz)baada ya kulipa kiwango cha dola 100 za Kimarekani jana (sawa na shilingi 220,000), kama bima ili aweze kutumiwa mabilioni yake kwa ajili ya kulipia nyumba hizo.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top