TANGAZO. Wadau katika watu naowaeshimu
duniani ni wanawake maaana najua halisi ya mwanamke ni mama zetu
wametuweka tumboni miezi 9 kwenye shida na rahaa.
Sasa wacha nirudi kwenye point yangu ya
msingi kuna mtu kafungua account fake kwenye facebook nakujiita vicent
kigosi kwanza kabisa kulikuwa na utapeli wa yeye mwenye account hiyo
fake kwa kusema eti kuwa mimi nahitaji wasanii kwa hiyo alikuwa
anawalipisha watu pesa ilo nililikanusha na kuwaambia watanzania kama ni
account fake wala sio mimi.
La pili sasa lilionisikitisha kabisa
kampost mwanamke akiwa uchi ni udhalilishaji mkubwa sana mimi ni mtu
mzima mwenye heshima kubwa sana kwenye nchi hii siwezi fanya huo upuuzi
simfahamu huyo dada wala sijawahi kumuona kwenye maisha yangu hiyo
account fake wala hainihusu asanteni kwa usumbufu uliojitokeza.
Vicent kigosi ‘Raythegreatest’ ameandika hayo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram.
Pole sana Ray.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )