Featured
Loading...

FARHIA MIDDLE AKIRI KUTWANGANA STUDIO



Mtangazaji wa Redio One na ITV, Farhia Middle.
Brighton Masalu
IMEVUJA! Mtangazaji wa Redio One na ITV, Farhia Middle, amewahi kuzitwanga laivu akiwa hewani.
Farhia alifungukia ishu hiyo alipoulizwa na mwanahabari wetu kwamba ni tukio gani lililomtokea kazini ambalo hatalisahau ndipo alipoweka bayana kuwa tukio hilo lilitokea mwaka 2011 wakati alipokuwa anaitumikia Redio ORS ya Simanjiro, Manyara baada ya mtangazaji mwenzake kumzushia maneno ya umbea.
“Nilikuwa studio nikitangaza lakini huwezi amini alipotokea yule aliyenizushia umbea nilikosa uvumilivu nikamsemesha na alipojibu, nikamtwanga makofi ndipo tukaamuliwa, nakumbuka tulipewa onyo kali tukaendelea na kazi hadi nilipokuja kuhamia ITV na Redio One,” alisema Farhia

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top