Featured
Loading...

Ni Wapi Alipo Comrade Kinana? Je Magufuli Amemsahau....Namkubali Sana Jamaa Katika Makada CCM Waliopambana Kujenga Chama



Sijamsikia kwa kipindi kirefu kidogo na sio kawaida yake, na hata zile safari za ujenzi wa chama zilizoandaliwa hivi majuzi sizisikii tena kama wamekwenda au lah, mwenye taarifa atupatie maana alisaidia sana "kukijenga chama" huko mikoani kiasi kwamba kura za Chama "ziliongezeka" kwa kiasi kikubwa..Je Magufuli Kamsahau ama Vipi

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top