Bi. Zamaradi Kawawa.
Bi. Zamaradi Kawawa ameteuliwa kuwa
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo akichukua nafasi ya aliyekuwa
Mkurugenzi wa idara hiyo, Assah Mwambene aliyehamishiwa Wizara ya Mambo
ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa.
Kwa taarifa zaidi, soma hapa chini;
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )