Leo
asubuhi Mkuu wa Nchi Rais John Pombe Magufuli amepiga simu kwa
kusuprise kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV huku kikiwa hewani
na Kuwaambia kuwa yeye na mkewe ni washabiki wakubwa sana wa kipindi
hicho..amesema yeye na mkewe kila asubuhi huwa waangalia na kufurahishwa
sana na watangazaji hao....Mkewe naye aliongea na kusema huwa anacheka
sana kwa vituko vya watangazaji hao wakati wakichambua habari mbali
mbali ....
Sasa ni rai kwa waandishi kufanya kazi mkijua rais wa nchi anafatilia utendaji wenu wa kazi wa kutuhabarisha wananchi na huwenda mambo mengine anayajua kupitia vipindi vyenu.
Hongera wana Clouds 360.....

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )