
Wawili hao walishinda tuzo hizo Jumamosi iliyopita jijini Lagos Nigeria. Lulu alishinda kipengele cha filamu bora ya Afrika Mashariki huku Richie akishinda tuzo ya filamu bora ya Kiswahili.
Lulu ameshare picha Instagram na kuandika: Mapema Leo Na Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa..! ”
Hii imekuwa ni wiki ya sherehe kwa washindi hao.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )